Mwenzao mmoja amepata Daraja E katika matokeo hayo yaliyotangazwa juzi na Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania (NECTA). Watoto hao waliokolewa kwa nyakati tofauti wakiwa wamekatishwa masomo kisha ...
MTIHANI wa Taifa wa Kidato cha Nne (CSEE) 2024 unaanza leo, lakini wanafunzi 161,020 sawa na asilimia 23.3 waliopaswa kuufanya, hawatakuwa miongoni mwa watahiniwa. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihan ...
Ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Novemba 10, 2024 wakati akifungua kongamano la wanawake wa chama hicho mjini Unguja, lenye kauli mbiu ‘wanawake na ushindi mwaka 2025’ Othman ambaye pia ni makamu wa ...
Mawaziri wanne akiwemo yule wa mambo ya nje Hussein Awad Ali ni miongoni mwa wale waliondolewa, huku nafasi yake ikichukuliwa na mwanadiplomasia mstaafu Ali Youssef Ahmed kwa mujibu wa taarifa ...
Azam FC ina deni la kupata ushindi dhidi ya Yanga ugenini leo kwenye Uwanja wa Azam Complex kuanzia saa 12.00 jioni ili ifaulu mitihani miwili ambayo imeonekana kuwa migumu kwa ... Singida Black Stars ...
Vilevile Amorin atakuwa na kazi ya kuweka sawa eneo la kiungo ambapo Kobbie Mainoo yupo katika kiwango bora, lakini changamoto ni mtu wa kucheza naye, Christian Eriksen haendani na kasi yake sawa na ...
Umoja wa Mataifa una wasiwasi kuhusu taarifa za kikosi cha kijeshi cha Korea Kaskazini kutumwa Urusi na uwezekano wake wa kupelekwa katika eneo la migogoro, Miroslav Jenca, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa ...
Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina, UNRWA, Philippe Lazzarini amemwandikia barua Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kusaka mshikamano na nchi ...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Dk. Said Mohamed. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Ufaulu wa mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2024 umeongezeka kwa asilimia 80.87, ...
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mapigano yameripotiwa siku ya Jumapili kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda na jeshi la Kongo linaloungwa mkono na washirika wake.