MNAMO tarehe 11 mwezi huu, wanafunzi 529,321 wa Kidato cha Nne walianza kufanya Mtihani wa Taifa wa kidato hicho (CSEE). Kwa ...
Dar es Salaam. Ombi la Jackson Clement, mwanafunzi wa kidato cha nne aliyenusurika kifo kwenye ajali ya ghorofa Kariakoo, limesikika baada ya Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) kumhakikishia ...
Umoja wa Mataifa una wasiwasi kuhusu taarifa za kikosi cha kijeshi cha Korea Kaskazini kutumwa Urusi na uwezekano wake wa kupelekwa katika eneo la migogoro, Miroslav Jenca, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa ...
KITUO cha Kitaifa cha Ukuzaji Mtaala (NCDC), kimetangaza kuwa lugha ya Kiswahili itaanzishwa kama somo la lazima katika shule ...
Wakati mzozo ukiendelea Mashariki ya Kati huko Gaza na Lebanon, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekukutana mjini New York hii leo kupigia kura rasimu ya azimio linalotaka usitishwaji wa ...
Urusi siku ya Jumatatu imezuia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kutoa wito wa kusitishwa kwa mapigano na ulinzi wa raia nchini Sudani baada ya kupiga kura yake ya turufu iliyopingwa na ...
Marekani siku ya Jumatano, Novemba 20, imezuia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupitia kura yake ya turufu kutoa wito wa "usitishajia mapigano mara moja, bila masharti na wa kudumu" huko Gaza.
“Utapona tu, utarudi shule, wizara itakuangalia, kama kurudia mitihani au nini tutaongea na wizara kwa sasa mshukuru Mungu na usali sana,” amesema Rais Samia. Mapema leo Jumatano, Mwananchi ...
"Utafiti wetu unaonesha kuwa silaha zilizoundwa na kutengenezwa nchini Ufaransa zinatumika kikamilifu katika uwanja wa vita ...
"Utafiti wetu unaonesha kuwa silaha zilizoundwa na kutengenezwa nchini Ufaransa zinatumika kikamilifu katika uwanja wa vita ...
G7 - "Kundi la mataifa Saba" lilikuja pamoja mwaka 1975 kama mataifa Saba muhimu yalioendelea zaidi kiviwanda wakati huo.
WIKI iliyopita watahiniwa wa kidato cha nne walianza mitihani ya kumaliza masomo yao, lakini kwa Alliance Girls mambo hayakwenda ... na swahiba wake Mudathir Yahaya wakiwa vijana wadogo enzi hizo ...