WATOTO wanne kati ya watano waliookolewa kuozeshwa mkoani Shinyanga, wamefaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, wakipata Daraja B na wawili Daraja C. Mwenzao mmoja amepata Daraja E katika matokeo ...
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa mwalimu Yusuph Pangoma, ambaye sasa anajivunia wanafunzi wake kupata matokeo mazuri ya darasa la saba, huku akikumbuka safari yao ya miaka sita tangu ... hao ni kutolewa ...
Antony amekuwa ni miongoni mwa maelfu ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba mwaka 2024. Matokeo yaliyotangazwa Oktoba 30, 2024 na Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) yanaonyesha ...
"Utafiti wetu unaonesha kuwa silaha zilizoundwa na kutengenezwa nchini Ufaransa zinatumika kikamilifu katika uwanja wa vita ...
"Utafiti wetu unaonesha kuwa silaha zilizoundwa na kutengenezwa nchini Ufaransa zinatumika kikamilifu katika uwanja wa vita ...
WIKI iliyopita watahiniwa wa kidato cha nne walianza mitihani ya kumaliza masomo yao, lakini kwa Alliance Girls mambo hayakwenda sawa ... na swahiba wake Mudathir Yahaya wakiwa vijana wadogo enzi hizo ...
Vilevile Amorin atakuwa na kazi ya kuweka sawa eneo la kiungo ambapo Kobbie Mainoo yupo katika kiwango bora, lakini changamoto ni mtu wa kucheza naye, Christian Eriksen haendani na kasi yake sawa na ...
Na Mwandishi Wetu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 25, 2024 ameweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo ...
Leo ni siku ya watoto duniani maudhui mwaka huu yakiwa "Kila mtoto, kila haki"na katika kuhakikisha sauti zao zinasikika kuhusu mustakbali wa utakao, shirika la Umoja wa Maataifa la kuhudumia watoto ...