MNAMO tarehe 11 mwezi huu, wanafunzi 529,321 wa Kidato cha Nne walianza kufanya Mtihani wa Taifa wa kidato hicho (CSEE). Kwa ...
Mwenzao mmoja amepata Daraja E katika matokeo hayo yaliyotangazwa juzi na Baraza la Taifa la Mitihani la Tanzania (NECTA). Watoto hao waliokolewa kwa nyakati tofauti wakiwa wamekatishwa masomo kisha ...
Mawaziri wanne akiwemo yule wa mambo ya nje Hussein Awad Ali ni miongoni mwa wale waliondolewa, huku nafasi yake ikichukuliwa na mwanadiplomasia mstaafu Ali Youssef Ahmed kwa mujibu wa taarifa ...
Antony amekuwa ni miongoni mwa maelfu ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kuhitimu darasa la saba mwaka 2024. Matokeo yaliyotangazwa Oktoba 30, 2024 na Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) yanaonyesha ...
Azam FC ina deni la kupata ushindi dhidi ya Yanga ugenini leo kwenye Uwanja wa Azam Complex kuanzia saa 12.00 jioni ili ifaulu mitihani miwili ambayo imeonekana kuwa migumu kwa ... Singida Black Stars ...
Vilevile Amorin atakuwa na kazi ya kuweka sawa eneo la kiungo ambapo Kobbie Mainoo yupo katika kiwango bora, lakini changamoto ni mtu wa kucheza naye, Christian Eriksen haendani na kasi yake sawa na ...
Umoja wa Mataifa una wasiwasi kuhusu taarifa za kikosi cha kijeshi cha Korea Kaskazini kutumwa Urusi na uwezekano wake wa kupelekwa katika eneo la migogoro, Miroslav Jenca, Msaidizi wa Katibu Mkuu wa ...
Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina, UNRWA, Philippe Lazzarini amemwandikia barua Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kusaka mshikamano na nchi ...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Dk. Said Mohamed. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Ufaulu wa mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2024 umeongezeka kwa asilimia 80.87, ...
Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mapigano yameripotiwa siku ya Jumapili kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda na jeshi la Kongo linaloungwa mkono na washirika wake.
Waziri Mkuu mpya wa Japani Ishiba Shigeru amevunja Baraza la Chini la Bunge leo Jumatano kwa ajili ya uchaguzi mkuu. Wapiga kura wanatarajiwa kupiga kura mnamo Oktoba 27. Kampeni rasmi zimepangwa ...
Baraza la mpito la kijeshi nchini Sudan limewakamata waliokuwa maafisa wa serikali na kuahidi kutowatawanya waandamanaji. Msemaji mmoja pia ameuomba upinzani kumchagua waziri mkuu mpya na kuahidi ...