Wizara ya Maji, Nishati na Madini Zanzibar, imeanza maandalizi ya sheria mpya ya madini ikiwa ni mkakati wa kusimamia ...
Kisiwa cha Zanzibar nchini Tanzania kitashiriki kwenye uchaguzi mkuu mara mbili, ifikiapo Jumanne tarehe 27 mwezi Oktoba na Oktoba 28. Uchaguzi huo ambao utakuwa wa kihistoria utafanyika kwa siku ...
Katika kipindi cha miaka miwili 2022/23 na 2023/24 Sh17.985 bilioni zimekusanywa Zanzibar katika kodi ya miamala ya simu.
Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa Rais wa pili wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kutokea Zanzibar. Ni baada ya miongo mitano na marais watano tangu muungano wa Tanganyika na Zanzibar uundwe 1964.
ZANZIBAR; WATAALAMU kutoka Shirika la Kimataifa la Upasuaji wa Wanawake (ISGE) na Chama cha Wanagyna na Wakunga ...
Mkuu wa Polisi Jamii Kamisheni ya Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Jonas Mahanga amesema suala la ...
RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amebainisha mikakati ya serikali kuhusu ukuaji uchumi wa Zanzibar na kueleza kuwa ...
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mgeni Hassan Juma, amesema kuwa kama ili kufikia azma ya kuwa kitovu cha ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kumwakilisha Rais ...