Katika mfululizo wa matangazo yetu maalamu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo tunaangazia maisha ya raia wa visiwa hivyo baada ya Mapinduzi hayo. Je hali ikoje kwa sasa baada ya mapinduzi hayo?
Tangu akiwa mwanachama wa CCM alikuwa mmoja wa makada wenye ushawishi ndani ya chama visiwani Zanzibar. Akiwa CCM amewahi kuwa Mjumbe Baraza la Mapinduzi Zanzibar na Waziri wa Elimu wa visiwa ...
Waziri wa Afya, Nassor Ahmed Mazrui amesema hayo alipofungua mafunzo ya awamu ya pili ya afya ya kidijitali Zanzibar ...
Mlezi wa Mkoa wa Katavi na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa, amesema chama ...
MIAKA nane sasa wazee wa Zanzibar waliofikisha miaka 70 na kuendelea wanapata pensheni ya kujikimu ambayo hutolewa kila ...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kumwakilisha Rais ...